Je wewe utakuwa mtembeleaje wa 10000? Utapata Laptop mpya kabisa toka blog ya JE HUU NI UUNGWANA...
Unachotakiwa kufanya ni kujiandikisha kuwa blog follower kabla ya tarehe Moja July, 2010.... Kisha endelea kutembelea blog yako kucheki namba pale chini kwenye HIT COUNTER. Ukiiona 10000. Print screen na u-paste kwenye word kisha attach document na kuituma lacford.media@gmail.com Uamuzi wa majaji utakuwa wa mwisho na tapadhari hapana kureta kauchanjauchanja!!
KUMBUKA SHARTI KWANI NI MUHIMU: lazima ujiandikishe kuwa blog follower kabla ya tarehe 1, July, 2010.... MUHIMU
Wale walioko kwenye list ya followers wako fiti kushiriki bila kikwazo chochote.
Ahsanteni na ushiriki mwema..
Mfalme Mrope...
Je Huu Ni Uungwana BLOG
UBAO WA MATANGAZO
Saturday, May 8, 2010
Subscribe to:
Comments (Atom)